BUSTANI YA WATU WEMA
{قال تعالى : {أَتَأْمُرُونَ النَّاسَ بِالْبِرِّ وَتَنسَوْنَ أَنفُسَكُمْ وَأَنتُمْ تَتْلُونَ الْكِتَابَ ۚ أَفَلَا تَعْقِلُونَ
{قال تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لِمَ تَقُولُونَ مَا لَا تَفْعَلُونَ كَبُرَ مَقْتًا عِندَ اللَّهِ أَن تَقُولُوا مَا لَا تَفْعَلُونَ
{وقال تعالى إخباراً عن شعيب صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم: { وَمَا أُرِيدُ أَنْ أُخَالِفَكُمْ إِلَىٰ مَا أَنْهَاكُمْ عَنْهُ
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Je! Mnawaamrisha watu mema na mnajisahau nafsi zenu, na hali nyinyi mnasoma Kitabu? Basi je, hamzingatii?]
[Sura Al-Baqara:44]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Enyi mlio amini! Kwa nini mnasema msiyo yatenda?Yanachukiza vikubwa mno kwa Mwenyezi Mungu kuwa mnasema msiyo yatenda.] [Suuratul Ass’af:2-3]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu akielezea Habari ya Mtume Shuayb (Alayhi salaam)
[Wala mimi sipendi kukukhalifuni nikafanya yale ninayo kukatazeni.
] [Surat Hud:88]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله