0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

197. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuamrisha Mema na kukanya Mabaya Hadithi 14


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبي بَكْرٍ الصِّدِّيق ، رضي اللَّه عنه . قال : يا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّكُمْ تقرءونَ هَذِهِ الآيةَ : { يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا علَيْكُمْ أَنْفُسَكُمْ لا يَضُرُّكُمْ منْ ضَلَّ إِذَا اهْتَدَيْتُمْ }  [المائدة : 105 ] وإِني سَمِعت رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « إِنَّ النَّاسَ إِذَا رَأَوْا الظَّالِمَ فَلَمْ يَأْخُذُوا عَلَى يَدَيْهِ أَوْشَكَ أَنْ يَعُمَّهُمُ اللَّه بِعِقَابٍ مِنْهُ »     رواه أبو داود ، والترمذي والنسائي بأسانيد صحيحة


Kutoka kwa Abu Bakr As-Swidiq Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: Enyi watu! Hakika nyinyi mnaisoma Aya hii: [Enyi mlio amini! Kilicho lazima juu yenu ni nafsi zenu. Hawakudhuruni walio potoka ikiwa nyinyi mmeongoka] Kwa hakika nimemsikia Mtume akisema: [Watu watakapomwona dhalimu na wasimshike mikoni yake (kumkanya), Basi yakaribia Mwenyezi Mungu Awalatee adhabu kutoka kwake itakayowaenea wote]   [Imepokewa na Abu Dawuud, At-Tirmidhiy na An-Nasaaiy]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.