0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

24. MLANGO WA ADHABU KALI YA MWENYE KUAMRISHA MEMA AU KUKANYA MABAYA NA KAULI YAKE IKAKHALIFU VEDENDO VYAKE


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال تعالى : {أَتَأْمُرُونَ النَّاسَ بِالْبِرِّ وَتَنسَوْنَ أَنفُسَكُمْ وَأَنتُمْ تَتْلُونَ الْكِتَابَ ۚ أَفَلَا تَعْقِلُونَ

{قال تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لِمَ تَقُولُونَ مَا لَا تَفْعَلُونَ  كَبُرَ مَقْتًا عِندَ اللَّهِ أَن تَقُولُوا مَا لَا تَفْعَلُونَ

{وقال تعالى إخباراً عن شعيب صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم:  { وَمَا أُرِيدُ أَنْ أُخَالِفَكُمْ إِلَىٰ مَا أَنْهَاكُمْ عَنْهُ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Je! Mnawaamrisha watu mema na mnajisahau nafsi zenu, na hali nyinyi mnasoma Kitabu? Basi je, hamzingatii?] 
     [Sura Al-Baqara:44]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Enyi mlio amini! Kwa nini mnasema msiyo yatenda?Yanachukiza vikubwa mno kwa Mwenyezi Mungu kuwa mnasema msiyo yatenda.]       [Suuratul Ass’af:2-3]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu akielezea Habari ya Mtume Shuayb (Alayhi salaam)

[Wala mimi sipendi kukukhalifuni nikafanya yale ninayo kukatazeni.
] 
 
     [Surat Hud:88]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.