0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

198. Riyadhu Swalihina Mlango wa Adhabu kali ya Mwenye kuamrisha Mema au kukanya Mabaya na kauli yake ya kakhalifu Vitendo vyake Hadithi 01


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي زيدٍ أُسامة بْنِ حَارثَةَ ، رضي اللَّه عنهما ، قال : سَمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « يُؤْتَـى بالرَّجُلِ يَوْمَ الْقِيامةِ فَيُلْقَى في النَّار ، فَتَنْدلِقُ أَقْتَابُ بَطْنِهِ ، فيَدُورُ بِهَا كَمَا يَدُورُ الحِمَارُ في الرَّحا ، فَيجْتَمِعُ إِلَيْهِ أَهْلُ النَّار فَيَقُولُونَ : يَا فُلانُ مَالَكَ ؟ أَلَمْ تَكُن تَأْمُرُ بالمَعْرُوفِ وَتَنْهَى عَنِ المُنْكَرِ ؟ فَيَقُولُ : بَلَى ، كُنْتُ آمُرُ بالمَعْرُوفِ وَلاَ آتِيه ، وَأَنْهَى عَنِ المُنْكَرِ وَآَتِيهِ »   متفق عليه


Kutoka kwa Abuu Zayd Usaamah bin Zayd bin Haarithah Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: Nimemsikia Mtume ﷺ akisema: [Ataletwa mtu siku ya Qiyama na atiwe motoni. Matumbo yake yatatoka nje awe akizunguka nayo kama vile anavyozunguka punda katika kinu (anapokuwa anasaga) ” Watu wa motoni watakumkusanyikia na waseme: “Ee Fulani, mbona uko hivyo ? Si uliokuwa ukituamrisha mema na kutukataza maovu?” Naye atasema: “Ndio, nilikuwa nikiamrisha mema wala sifanyi na nilikuwa nikikataza maovu na nikiyaendea]    [Imepokewa na Bukhari, Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.