0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

25. MLANGO WA MAAMRISHO YA KUTEKELEZA AMANA


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال تعالى : {إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكُمْ أَن تُؤَدُّوا الْأَمَانَاتِ إِلَىٰ أَهْلِهَا

{قال تعالى : {إِنَّا عَرَضْنَا الْأَمَانَةَ عَلَى السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالْجِبَالِ فَأَبَيْنَ أَن يَحْمِلْنَهَا وَأَشْفَقْنَ مِنْهَا وَحَمَلَهَا الْإِنسَانُ ۖ إِنَّهُ كَانَ ظَلُومًا جَهُولًا


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe.] 
     [Surat An-Nisaai:58]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Kwa hakika Sisi tulikadimisha amana kwa mbingu na ardhi na milima; na vyote hivyo vikakataa kuichukua na vikaogopa. Lakini mwanaadamu akaichukua. Hakika yeye amekuwa dhaalimu mjinga.]       [Suuratul Al-Ah’zab:72]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.