0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

199. Riyadhu Swalihina Mlango wa Maamrisho ya kutekeleza Amana Hadithi 01


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبي هريرة ، رضي اللَّه عنه ، أن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « آيَةُ المُنَافِقِ ثَلاثٌ: إِذَا حَدَّثَ كَذَبَ ، وَإِذَا وَعَدَ أَخْلَفَ ، وإِذَا آؤْتُمِنَ خَانَ »     متفقٌ عليه
«وفي رواية : « وَإِنْ صَامَ وَصَلَّى وزعَمَ أَنَّهُ مُسْلِمٌ


Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume amesema: [Alama za mtu mnafiki ni tatu: Akizungmza husema uwongo, na napoahidi hatakelezi, na anapoaminiwa hufanya khiyana]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine: [Japokuwa atafunga na kuswali na akadai kuwa yeye ni Muislamu.]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.