0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

166. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzihifadhi Sunna na Adabu zake Hadithi ya 11


BUSTANI YA WATU WEMA


عَنْ أَبِي سعيدٍ عبدِ اللَّهِ بنِ مُغَفَّلٍ ، رضي اللَّه عنه ، قال : نَهَى رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، عَن الخَذْفِ وقالَ : « إِنَّهُ لا يقْتُلُ الصَّيْدَ ، ولا يَنْكَأُ الْعَدُوَّ ، وَإِنَّهُ يَفْقَأُ الْعَيْنَ ، ويَكْسِرُ السِّنَّ »    متفقٌ عليه
وفي رواية : أَنَّ قريباً لابْنِ مُغَفَّلٍ خَذَفَ ، فَنَهَاهُ وقال : إِنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم نَهَى عن الخَذْفِ وقَالَ : « إِنَّهَا لا تَصِيدُ صَيْداً » ثُمَّ عادَ فقالَ : أُحَدِّثُكَ أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، نَهَى عَنْهُ ، ثُمَّ عُدْتَ تَخْذِفُ ،؟ لا أُكَلِّمُكَ أَبداً


Kutoka kwa Abuu Sa’yd, ‘Abdullaah bin Mughaffal Radhi za Allah ziwe juu yake Amesea Mtume  amekataza al-khadhaf’ (kurusha vijiwe kwa kutumia kidole gumba na cha shahaada) akasema: [Kwani hakiuwi windo wala hakimuuwi adui, bali hutoboa jicho na kuvunja jino tu.]   [Imepokewa na Bukhaariy na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Muslim imesema:

“Jamaa mmoja wa karibu kwa Ibn Mughaffal alifanya khadhaf. Akamkataza na akamwambia: Mtume  amekataza kitendo hiki (khadhaf), akasema: [Kwani hakiwindi windo] Kisha yule jamaa akarudia kitendo hicho. Akamwambia: Nimekuhadithia kuwa Mtume  amekataza jambo hilo kisha umerudia kitendo hicho cha khadhaf? Sitazungumza nawe kamwe!]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.