0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

167. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzihifadhi Sunna na Adabu zake Hadithi ya 12

BUSTANI YA WATU WEMA


وعنْ عابسِ بن ربيعةَ قال : رَأَيْتُ عُمَرَ بنَ الخطاب ، رضي اللَّه عنه ، يُقَبِّلُ الْحَجَرَ     يَعْنِي الأَسْوَدَ ويَقُولُ : إِني أَعْلَمُ أَنَّكَ حَجَرٌ مَا تَنْفَعُ ولا تَضُرُّ ، ولَوْلا أنِّي رأَيْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، يُقَبِّلُكَ ما قَبَّلْتُكَ ..   متفقٌ عليه


Kutoka kwa Aabis bin Rabiy’h amesema: Nilimuona ‘Umar bin Al-Khattwaab Radhi za Allah ziwe juu yake akilibusu Hajarul Aswad (jiwe jeusi) na akasema: Hakika najua wewe ni jiwe, hunufaishi wala hudhuru, lau kama nisingelimuona Mtume ﷺ akikubusu nisingelikubusu]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.