0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

17. MLANGO WA ULAZIMA KUFUATA HUKUMU YA MWENYEZI MUNGU NA YALE ANAYOTAKIWA MTU KUYASEMA PINDI AKILINGANIWA KATIKA HAYO,….


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{وقال تعالى : {فَلَا وَرَبِّكَ لَا يُؤْمِنُونَ حَتَّىٰ يُحَكِّمُوكَ فِيمَا شَجَرَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ لَا يَجِدُوا فِي أَنفُسِهِمْ حَرَجًا مِّمَّا قَضَيْتَ وَيُسَلِّمُوا تَسْلِيمًا

{وقال تعالى : {إِنَّمَا كَانَ قَوْلَ الْمُؤْمِنِينَ إِذَا دُعُوا إِلَى اللَّهِ وَرَسُولِهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ أَن يَقُولُوا سَمِعْنَا وَأَطَعْنَا ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ

وفيه من الأحاديث حديث أبي هريرة المذكور في أول الباب قبله (انظر الحديث رقم 156) وغيره من الأحاديث فيه


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa.]     [Surat An-Nisaai:65]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Haiwi kauli ya Waumini wanapo itwa kwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina yao, ila ni kusema: Tumesikia, na tumet’ii! Na hao ndio wenye kufanikiwa.]     [Surat An-Nur:51]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله





Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.