BUSTANI YA WATU WEMA
قال اللَّه تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ حَقَّ تُقَاتِهِ} آل عمران:102
وقال تعالى :{فَاتَّقُوا اللَّهَ مَا اسْتَطَعْتُمْ} التغابن 16
وهذه الآية مبينة للمراد من الأولى
وقال اللَّه تعالى : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَقُولُوا قَوْلًا سَدِيدًا} الأحزاب 70
والآيات في الأمر بالتقوى كثيرة معروفة
وقال تعالى : {وَمَن يَتَّقِ اللَّهَ يَجْعَل لَّهُ مَخْرَجًا وَيَرْزُقْهُ مِنْ حَيْثُ لَا يَحْتَسِبُ} الطلاق 2، 3
وقال تعالى : {إِن تَتَّقُوا اللَّهَ يَجْعَل لَّكُمْ فُرْقَانًا وَيُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ۗ وَاللَّهُ ذُو الْفَضْلِ الْعَظِيمِ } الأنفال 29
والآيات في الباب كثيرة معلومة
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu kama ipasavyo kumcha;] [Suurat Al ‘Imran:102]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Basi mcheni Mwenyezi Mungu kama mwezavyo,] [Sura Attaghaabun:16]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa.] [Al-Ah’zab:70]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na anaye mcha Mwenyezi Mungu humtengezea njia ya kutokea.Na humruzuku kwa jiha asiyo tazamia.] [Suuratul Att’alaaq:2-3]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Mkimcha Mwenyezi Mungu atakupeni kipambanuo, na atakufutieni makosa, na atakusameheni, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kubwa.] [Suurat Al Anfaal:29]
Na Aya katika Mlango huu ni nyini na zajulikana.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله