0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

080. Riyadhu Swalihina Mlango wa Yakini na Kumtegemea Mwenyezi Mungu Hadithi ya 07


BUSTANI YA WATU WEMA


 رياض الصالحين


 عن أبي عِمَارةَ الْبراءِ بْنِ عازِبٍ رضي اللَّه عنهما قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « يا فُلان إذَا أَويْتَ إِلَى فِرَاشِكَ فَقُل : اللَّهمَّ أسْلَمْتُ نفْسي إلَيْكَ ، ووجَّهْتُ وجْهِي إِلَيْكَ ، وفَوَّضْتُ أمري إِلَيْكَ ، وألْجأْتُ ظهْرِي إلَيْكَ . رغْبَة ورهْبةً إلَيْكَ ، لا ملجَأَ ولا منْجى مِنْكَ إلاَّ

إلَيْكَ ، آمَنْتُ بِكِتَابِكَ الَّذي أنْزَلْتَ، وبنبيِّك الَّذي أرْسلتَ ، فَإِنَّكَ إنْ مِتَّ مِنْ لَيْلَتِكَ مِتَّ عَلَى الْفِطْرَةِ ، وإنْ أصْبحْتَ أصَبْتَ خيْراً »  متفقٌ عليه

وفي رواية في الصَّحيحين عن الْبرَاء قال : قال لي رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إذَا أتَيْتَ مضجعَكَ فَتَوَضَّأْ وُضُوءَكَ للصَّلاَةِ ، ثُمَّ اضْطَجِعْ عَلَى شِقِّكَ الأيْمَنِ وقُلْ : وذَكَر نحْوَه ثُمَّ قَالَ وَاجْعَلْهُنَّ آخرَ ما تَقُولُ

 


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu ‘Imaarah Al-Baraa bin ‘Aazib Radhi za Allah ziwe juu yao amesema: Mtume alimwambia mtu: [Ewe fulani utakapokiendea kitanda chako, sema: Ewe Mola, nimejisalimisha Kwako, uso wangu nimeuwelekeza Kwako, mambo yangu nimekuachia Wewe, nimekuegemeza Wewe kwa kutaraji thawabu Zako na kuogopa dhambi Zako, hakuna sehemu ya kuegemea wala kukuepuka ila ni Kwako. Nimekiamini Kitabu Chako Ulichokiteremsha na Mtume Wako Uliyemtuma. Basi utakapofikwa na mauti usiku huo, utakuwa umekufa katika Uislamu, na ukipambaukiwa utapambaukiwa na khari.]   

[Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Nakatika Riwaya nyingine iliyomo katika Sahihi Al-Bukhaariy na Sahihi Muslim; kutoka kwa Al-Baraa imesema: Mtume aliniambia: [Unapokwenda kwenye tandiko lako, basi tawadha udhuu wa Swala, kisha ulale kwa upande wako wa kulia na usema: Akajata mfano wake kama ilivyotangulia] kisha akasena [Maneno hayo ndiyo yawe ya mwisho utakayoyasema.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.