0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

61 DUA YA KUZURU MAKABURI

KINGA YA MUISLAMU

السلام عليكم أهل الديار ، من المؤمنين والمسلمين، وإنا إن شاء الله بكم لاحقون [ ويرحم الله المُستقدمين منا والمستأخرين ] أسأل الله لنا ولكم العافية

مسلم2/671 ،وابن ماجه واللفظ له 1/494

[Amani ishuke juu yenu watu wa nyumba za waumini na waislamu, nasi apendapo Mwenyezi Mungu  tutakutana nanyi, tunamuomba Mwenyezi Mungu  atusamehe, sisi na nyinyi.  [Na Mwenyezi Mungu awarehemu wa mwanzo na wa mwisho] namuomba Mwenyezi Mungu  atupe sisi nanyi afya njema.]   [Imepokewa na Muslim na Ibnu Maajah.]

DUA YA KUZURU MAKABURI

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.