0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

60 DUA BAADA YA KUMZIKA MAITI

KINGA YA MUISLAMU

[اللهم اغفر له اللهم ثبته]

[Ewe Mwenyezi Mungu  msamehe, Ewe Mwenyezi Mungu  mfanye awe thabiti]

Mtume ﷺ alikuwa akimaliza kuzika anasimama mbele ya kaburi na kisha anasema “Muombeeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu  ndugu yenu na muombeeni kuthibitishwa kwani hivi sasa anaulizwa.      [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Haakim]

DUA BAADA YA KUMZIKA MAITI

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.