0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

293. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kulisha Watoto 05

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي مسعود البدري – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا أنْفَقَ الرَّجُلُ عَلَى أَهْلِهِ نَفَقَةً يَحْتَسِبُهَا فَهِيَ لَهُ صَدَقَةٌ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Mas‘ûd al-Badry Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Mwanamume anapompa mkewe matumizi kwa kutarajia malipo kwa Allâh, basi matumizi hayo ni sadaka yake]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.