0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

292. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kulisha Watoto 04

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن سعد بن أَبي وقاص – رضي الله عنه – في حديثه الطويل الَّذِي قدمناه في أول الكتاب في باب النِّيَةِ: أنَّ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ لَهُ: {وإنَّكَ لَنْ تُنْفِقَ نَفَقَةً تَبْتَغِي بِهَا وَجْهَ اللهِ إلاَّ أُجِرْتَ بِهَا حَتَّى مَا تَجْعَلُ في فيِّ امرأتِك} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Sa’d bin Abî Waqqâs Radhi za Allah ziwe juu yake , amesema – katika Hadîth yake ndefu iliotangulia mwanzo wa Kitabu cha Niya kuwa Mtume alimwambia: [Na hakika, hutatoa haraja (matumizi ya nyumbani), ukawa unataka Radhi ya Allâh kwa haraja hiyo, ispokuwa utapewa ujira kwayo; hata unachokitia katika kinywa cha mkeo.]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.