0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

86 KAFARA YA KIKAO

KAFARA YA KIKAO

[ سُبْحـانَكَ اللّهُـمَّ وَبِحَمدِك، أَشْهَـدُ أَنْ لا إِلهَ إِلاّ أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتوبُ إِلَـيْك ]

 أخرجه أصحاب السنن

[Kutakasika ni Kwako ewe Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zako. Nakiri kwamba hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Wewe, nakuomba msamaha na ninarejea Kwako]     [Imepokewa na wapokezi wa Hadithi]

عن عائشة رضي الله عنها قالت : ماجلس رسول الله صلى الله عليه وسلم مجلساً قط ، ولا تلا قرآناً ، ولا صلى صلاة إلا ختم ذلك بكلمات قالت : فقلت : يارسول الله أراك ما تجلس ( مجلساً ) ولا تتلو قرآنا ، ولا تصلي صلاة إلا ختمت بهؤلاء الكلمات ؟ قال : نعم ( من قال خيراً خُتم له طابع على ذلك الخير ، ومن قال شراً كن له كفارة  ،  سبحانك وبحمدك لا إله إلا أنت أستغفرك وأتوب إليك

Imepokelewa kutoka kwa mama wa Waumini ‘Aaishah radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Hajapatapo kukaa Mtume kikao wala kusoma Qur’ani wala kuswali ila atamaliza na du’aa hii’ Amesema mama wa Waumini ‘Aaishah radhi za Allah ziwe juu yake nikamuuliza “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu nakuona hukai kikao chochote wala husomi Qur’ani wala huswali swala yoyote ile ila unaimalizia kwa kusoma maneno haya kwanini hasa? Akasema ﷺ [Ndio anayesema kheri amalize kwa kheri na anayesema shari yanakuwa maneno haya ni kafara kwake]

[ سُبْحـانَكَ وَبِحَمدِك، لا إِلهَ إِلاّ أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتوبُ إِلَـيْكَ ]

[Kutakasika ni Kwako na sifa njema zote ni Zako, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Wewe, nakuomba msamaha na ninarejea Kwako]      [Imepokewa na Al-Nnasaai, na Ahmad.]

SIKILIZA DUA YA KAFARA YA KIKAO

  

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.