0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

85 UTAJO UNAOSOMWA KATIKA KIKAO

UTAJO UNAOSOMWA KATIKA KIKAO

Imepokelewa kutoka kwa Ibn Omar amesema : “Alikuwa akihisabiwa Mtume ﷺ kusoma kwake dua hii katika kikao kimoja ikifika idadi ya mara mia kabla hajasimama”

[ رَبِّ اغْفِـرْ لي، وَتُبْ عَلَـيَّ، إِنَّكَ أَنْـتَ التَّـوّابُ الغَـفُورُ ]

[Mwenyezi Mungu nisamehe na nikubalie toba yangu, hakika Wewe ni mwingi wa kukubali toba, mwingi wa kusamehe]      [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]

UTAJO UNAOSOMWA KATIKA KIKAO

 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.