0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

87 KUMUOMBEA DUA ANAEKUOMBEA MSAMAHA KWA MWENYEZI MUNGU

KINGA YA MUISLAMU

Imepokelewa kutoka kwa Abdillahi bin Sarjis radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimjia Mtume ﷺ nikala katika chakula chake kisha nikamwambia :

[ غَفَـرَ اللهُ لَكَ يا رَسـولَ الله ]

[Mwenyezi Mungu Akusamehe ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu]

Akaniambia

[ وَلَكَ ]

[Nawe akusamehe]      [Imepokewa na Ahmad na Al-Nnasaai.]

KUMUOMBEA DUA ANAEKUOMBEA MSAMAHA KWA MWENYEZI MUNGU

 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.