0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

795. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sifa Ya Urefu Wa Kanzu, Mkono (Wa Kanzu Kikoi Na Ncha Ya Kilemba Na Uharamu Wa Kuburuta Sehemu Katika Mavazi…

باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء


وعن ابن عمر رضي اللَّه عنهما، عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “الإِسْبَالُ في الإِزارِ، والقَمِيصِ، وَالعِمَامةِ، منْ جَرَّ شَيئا خُيَلاءَ لَم يَنظُرِ اللَّه إليهِ يوْمَ القِيَامةِ”   رواه أَبُو داود، ُوالنسائى بإسنادٍ صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI


Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Umar  (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amepokea kutoka kwa Mtume   amesema: “Kuburuta kikoi, kanzu na kilemba, mwenye kuburuta chochote kwa kibri, Allâh Hatamtazama Siku ya Qiyama.”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd na an-Nasâ-î wameipokea kwa isnadi Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.