0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

794. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Sifa Ya Urefu Wa Kanzu, Mkono (Wa Kanzu Kikoi Na Ncha Ya Kilemba Na Uharamu Wa Kuburuta Sehemu Katika Mavazi…

باب صفة طول القميص والكم والإزار وطرف العمامة وتحريم إسبال شيء من ذلك على سبيل الخيلاء وكراهته من غير خيلاء


وعن أَبي ذرٍّ رضي اللَّه عنه عن النَّبيّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “ثلاثةٌ لا يُكَلِّمُهُمُ اللَّهُ يَوْمَ القِيَامةِ، وَلاَ يَنْظُرُ إِلَيْهم، وَلا يُزَكِّيهِمْ، وَلهُمْ عَذَابٌ أَليمٌ”قَالَ: فقَرأَها رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ثلاثَ مِرَارٍ. قَالَ أَبو ذَرٍّ: خابُوا وخسِرُوا مَنْ هُمْ يَا رسول اللَّه؟ قَالَ:“المُسبِلُ، والمنَّانُ وَالمُنْفِقُ سِلْعَتَهُ بِالحَلفِ الكاذِبِ”     رواه مسلم

وفي روايةٍ لَهُ:“المُسْبِلُ إِزَارَهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


119. MLANGO WA SIFA YA UREFU WA KANZU, MKONO (WA KANZU), KIKOI NA NCHA YA KILEMBA NA UHARAMU WA KUBURUTA SEHEMU KATIKA MAVAZI HAYO KWA KUFANYA KIBRI, NA KARAHA YA KUFANYA HIVYO IKIWA SI KWA KIBRI


Imepokewa na Abû Dharri  (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Watu watatu, Allâh Hatawazungumzisha Siku ya Qiyama, Hatawatazama wala Hatawatakasa, watapata adhabu inayoumiza.” Mtume ﷺ akayakariri maneno hayo mara tatu. Abû Dharri  akasema: “Wamepita patupu na wamekhasirika! Ni nani hao Yâ Rasûlallâh?” Akasema: “Mwenye  kuburuta (nguo), msimbulizi na aliyetoa bidhaa yake kwa kiapo cha uwongo.”    [ Imepokewa na Muslim.]

Riwaya yake nyingine imesema: “…mwenye kuburuta kikoi chake.”


Begin typing your search above and press return to search.