0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

769. Riyadhu Swalihina Mlango Wa  Ubainifu Wa Kunywa Kwa Kusimama Na Kubainisa Kwamba Ukamilifu Na Ubora Zaidi Ni Kunya Kwa Kuketi.

باب بيان جواز الشرب قائماً وبيان أنَّ الأكمل والأفضل الشرب قاعداً


وعن عمرو بن شعيب، عن أبيه، عن جَدِّهِ – رضي الله عنه -، قَالَ: رأيتُ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – يَشْرَبُ قَائِماً وقَاعِداً.    رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Amr bin Shuaib, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa babu yake (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: amesema: Nilimuona Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akinywa hali ya kusimama na kukaa. [ Imepokewa na Tirmidhiy na Amesema ni Sahihi.]


Begin typing your search above and press return to search.