0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

768. Riyadhu Swalihina Mlango wa  Ubainifu wa kunywa kwa kusimama na kubainisa kwamba ukamilifu na ubora zaidi ni kunya kwa kuketi.

باب بيان جواز الشرب قائماً وبيان أنَّ الأكمل والأفضل الشرب قاعداً


 وعن ابن عمر – رضي الله عنهما قَالَ: كُنَّا عَلَى عهدِ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – نَأكُلُ وَنَحْنُ نمشِي، وَنَشْرَبُ ونَحْنُ قِيامٌ.     رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa na Ibn Omar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: Wakati wa Mtume wa Mwenyezi Mungu  (ﷺ) tulikuwa tukila huku tukitembea, na tukinywa tukiwa tumesimama.  [ Imepokewa na Tirmidhiy na Amesema ni Sahihi.]


Begin typing your search above and press return to search.