July 18, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي مسعود البدري – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا أنْفَقَ الرَّجُلُ عَلَى أَهْلِهِ نَفَقَةً يَحْتَسِبُهَا فَهِيَ لَهُ صَدَقَةٌ} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ.
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Mas‘ûd al-Badry Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: [Mwanamume anapompa mkewe matumizi kwa kutarajia malipo kwa Allâh, basi matumizi hayo ni sadaka yake] [Wameafikiana Bukhari na Muslim]