July 18, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أمِّ سَلمَة – رضي الله عنها -، قَالَتْ: قُلْتُ: يَا رَسُول الله، هَلْ لِي أجرٌ فِي بَنِي أَبي سَلَمَة أنْ أُنْفِقَ عَلَيْهِمْ، وَلَسْتُ بِتَارِكتهمْ هكَذَا وَهكَذَا إنَّمَا هُمْ بَنِيّ؟ فَقَالَ: {نَعَمْ، لَكِ أجْرُ مَا أنْفَقْتِ عَلَيْهِمْ} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Ummu Salamah Radhi za Allah ziwe juu yake ameseama: “Nilimwuliza Mtume ﷺ : “Yâ Rasûlallâh Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, je, nina ujira nitakapowapa watoto wa Abû Salamah na ilihali mimi siwezi kuwaacha wakitangatanga huku na kule ambapo wao ni watoto wangu?” Akamjibu: [Ndio, utapata ujira wa ulichowapa.] [Wameafikiana Bukhari na Muslim]