June 29, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه – أيضاً: أنَّ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {لاَ يَحِلُّ لامْرَأةٍ أنْ تَصُومَ وزَوْجُهَا شَاهدٌ إلاَّ بإذْنِهِ، وَلاَ تَأذَنَ في بَيْتِهِ إلاَّ بِإذنِهِ} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ وهذا لفظ البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: [Si halali kwa mwanamke kufunga saumu (ya Sunna) ilihali mumewe yuko (hakusafiri) ela kwa idhini yake. Wala (mwanamke) asimruhusu mtu kuingia nyumbani mwake ela kwa idhini yake (mumewe).] [Wameafikiana Bukhari na Muslim, na hii ni lafdhi ya Bukhârî.]