0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

283. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Mume Juu Ya Mwanamke Hadithi 03

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {كلكم رَاعٍ، وَكُلُّكُمْ مَسْؤُولٌ عَنْ رَعِيَّتِهِ: وَالأمِيرُ رَاعٍ، والرَّجُلُ رَاعٍ عَلَى أهْلِ بَيتِهِ، وَالمَرْأةُ رَاعِيةٌ عَلَى بَيْتِ زَوْجها وَوَلَدهِ، فَكُلُّكُمْ رَاعٍ، وَكُلُّكُمْ مَسْؤُولٌ عَنْ  رَعِيَّتِهِ}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Nyote ni wachunga na kila mmoja wenu ataulizwa kuhusu alichokichunga. Kiongozi ni mchunga, na mume ni mchunga juu ya mkewe, na mke ni mchunga juu ya nyumba ya mumewe na watoto wake; kwa hivyo nyote ni wachunga na kila mmoja wenu ataulizwa kuhusu alichokichunga.]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.