0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

284. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Mume Juu Ya Mwanamke Hadithi 04

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي علي طَلْق بن علي – رضي الله عنه -: أنَّ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا دَعَا الرَّجُلُ زَوْجَتهُ لحَاجَتِهِ فَلْتَأتِهِ وَإنْ كَانَتْ عَلَى التَّنُور}رواه الترمذي والنسائي، وَقالَ الترمذي: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû ‘Alî, Talq bin ‘Alî Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Mume atakapomwita mkewe kwa ajili ya haja yake, basi amwendee hata kama yuko katika tanuri (anaoka mikate).]     [Imepokewa na Tirmidhy, na an-Nasâ-î. Tirmidhy amesema: Hadîth hii ni Sahîh Hasan.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.