June 22, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن معاوية بن حيدة ( قَالَ: قُلْتُ: يَا رَسُول الله، مَا حق زَوجَةِ أَحَدِنَا عَلَيهِ؟ قَالَ: ﴿أنْ تُطْعِمَهَا إِذَا طعِمْتَ، وَتَكْسُوهَا إِذَا اكْتَسَيْتَ، وَلا تَضْرِبِ الوَجْهَ، وَلا تُقَبِّحْ، وَلا تَهْجُرْ إلا في البَيْتِ﴾. حديثٌ حسنٌ رواه أَبُو داود
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Muâ‘wiyah bin Haidah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Nilimwuliza Mtume ﷺ: “Yâ Rasûlallâh, Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu ni ipi haki ya mke wa mmoja wetu inayompasa mumewe?” Akamjibu: [Ni umlishe unapokula, umvishe unapovaa, wala usimpige uso wala usimkaripie wala usimgure ela nyumbani tu.] [ Imepokewa na Abû Dâwûd. Hadîth hii ni Hasan.]