0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

278. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wanawake Hadithi 06

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {أكْمَلُ المُؤمِنِينَ إيمَاناً أحْسَنُهُمْ خُلُقاً، وخِيَارُكُمْ خياركم لِنِسَائِهِمْ}    رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume amesema: [Mwumini aliekamilika imani ni aliye na tabia nzuri zaidi, na wabora wenu ni walio bora kwa wake zao.]        [Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Sahîh Hasan.]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.