0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

265. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ubora Wa Waislamu Wanyonge Hadithi 06

BUSTANI YA WATU WEMA

وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -:{السَّاعِي عَلَى الأَرْمَلَةِ وَالمِسْكِينِ، كَالمُجَاهِدِ في سَبيلِ اللهِ} وَأحسَبُهُ قَالَ: {وَكالقَائِمِ الَّذِي لاَ يَفْتُرُ، وَكَالصَّائِمِ الَّذِي لاَ يُفْطِرُ} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

Kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesema : Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema ﷺ : [Mwenye kumsimamia mjane na masikini (kwa matumizi) ni kama mpiganaji Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu ] Na nadhani alisema: [Na ni kama anayeswali usiku wala hachoki na ni kama anayefunga wala hafuturu.] Muttafaq.

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.