0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

266. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ubora Wa Waislamu Wanyonge Hadithi 07

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {شَرُّ الطَّعَامِ طَعَامُ الوَلِيمَةِ، يُمْنَعُهَا مَنْ يَأتِيهَا، وَيُدْعَى إِلَيْهَا مَنْ يَأْبَاهَا، وَمَنْ لَمْ يُجِبِ الدَّعْوَةَ فَقَدْ عَصَى اللهَ وَرَسُولَهُ}    رواه مسلم

وفي رواية في الصحيحين، عن أَبي هريرة من قوله: {بئْسَ الطَّعَامُ طَعَامُ الوَلِيمَةِ يُدْعَى إِلَيْهَا الأغْنِيَاءُ ويُتْرَكُ الفُقَراءُ}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema “Mtume : [Chakula kibaya ni chakula cha walima kinanyimwa anaekiendea na hualikwa anaekikataa. na asie itikia mwaliko atakuwa amemuasi Mwenyezi Mungu namtume wake. ]   [Imepokewa na Muslim] 

Nakatika riwaya katika sahihi mbili: [Chakula kibaya ni chakula cha walima kinanyimwa wanaalikwa matajiri na kuachwa masikini. ]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.