0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

262. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ubora Wa Waislamu Wanyonge Hadithi 03

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن سهل بن سعد – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {أَنَا وَكَافلُ اليَتِيمِ في الجَنَّةِ هَكَذا} وَأَشارَ بالسَّبَّابَةِ وَالوُسْطَى، وَفَرَّجَ بَيْنَهُمَا.     رواه البخاري

و{كَافلُ اليَتيم}: القَ‍ائِمُ بِأمُوره


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka Sahli bin Sa’d Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:  Amesema: “Mtume [Mimi na mwenye kumsimamia yatima tuko hivi.] Akaashiria kwa kidole cha shahada na cha kati na akapambanua baina yake.     [Imepokewa na Bukhari.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.