May 7, 2022
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن سهل بن سعد – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {أَنَا وَكَافلُ اليَتِيمِ في الجَنَّةِ هَكَذا} وَأَشارَ بالسَّبَّابَةِ وَالوُسْطَى، وَفَرَّجَ بَيْنَهُمَا. رواه البخاري
و{كَافلُ اليَتيم}: القَائِمُ بِأمُوره
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka Sahli bin Sa’d Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema: “Mtume ﷺ [Mimi na mwenye kumsimamia yatima tuko hivi.] Akaashiria kwa kidole cha shahada na cha kati na akapambanua baina yake. [Imepokewa na Bukhari.]