0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

260. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubora wa Waislamu wanyonge Hadithi 01

BUSTANI YA WATU WEMA


عن سعد بن أَبي وَقَّاص رضي اللَّه عنه قال : كُنَّا مَعَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم سِتَّةَ نفَر ، فقال المُشْرِكُونَ للنَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : اطْرُدْ هُؤُلاءِ لا يَجْتَرِئُون عليْنا ، وكُنْتُ أَنا وابْنُ مسْعُودٍ ورجُل مِنْ هُذَيْلِ وبِلال ورجلانِ لَستُ أُسمِّيهِما ، فَوقَعَ في نَفْسِ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ما شاءَ اللَّه أَن يقعَ فحدث نفْسهُ ، فأَنْزَلَ اللَّهُ تعالى : { ولا تَطْرُدِ الَّذِينَ يَدْعُون رَبَّهُمْ بالْغَداةِ والعَشِيِّ يُريدُونَ وجْهَهُ }  [ الأنعام : 52 ]   رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Sa’d bin Abî Waqqâs Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Tulikuwa pamoja na Mtume ﷺ kundi la watu sita. Mushrikina wakamwambia Mtume ﷺ : “Wafukuze hawa (watu sita) wasije wakatufanyia ujasiri.” Na hapo nilikuwa mimi, Ibni Mas‘ûd, mtu mmoja katika kabila la Hudhail, Bilâl na watu wawili ambao sitawataja. Ikaingia katika moyo wa Mtume ﷺ Alichokitaka Allâh kuingia (yaani kuwafukuza), akaizungumza nafsi yake. Allâh Akateremsha: “Wala usiwafukuze wale wanaomwabudu Mola wao asubuhi na jioni kutaka Radhi Yake.”  6:52.  [Imepokewa na  Muslim.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.