June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
{قال تعالى : {إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكُمْ أَن تُؤَدُّوا الْأَمَانَاتِ إِلَىٰ أَهْلِهَا
{قال تعالى : {إِنَّا عَرَضْنَا الْأَمَانَةَ عَلَى السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالْجِبَالِ فَأَبَيْنَ أَن يَحْمِلْنَهَا وَأَشْفَقْنَ مِنْهَا وَحَمَلَهَا الْإِنسَانُ ۖ إِنَّهُ كَانَ ظَلُومًا جَهُولًا
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe.]
[Surat An-Nisaai:58]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Kwa hakika Sisi tulikadimisha amana kwa mbingu na ardhi na milima; na vyote hivyo vikakataa kuichukua na vikaogopa. Lakini mwanaadamu akaichukua. Hakika yeye amekuwa dhaalimu mjinga.] [Suuratul Al-Ah’zab:72]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله