0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

249. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kupatanisha Watu Hadithi 02


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أُمِّ كُلْثُومٍ بنتِ عُقْبَةَ بن أَبي مُعَيْطٍ رضي اللَّه عنها قالت : سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « لَيْسَ الْكَذَّابُ الذي يُصْلحُ بَيْنَ النَّاسِ فَيَنْمي خَيْراً ، أَوْ يَقُولُ خَيْراً »      متفق عليه

وفي رواية مسلمٍ زيادة ، قالت : وَلَمْ أَسْمَعْهُ يُرَخِّصُ في شَيْءٍ مِمَّا يَقُولُهُ النَّاسُ إِلاَّ في ثَلاثٍ، تَعْنِي : الحَرْبَ ، وَالإِصْلاَحَ بَيْنَ النَّاسِ ، وَحَدِيثَ الرَّجُلِ امْرَأَتَهُ ، وَحَديثَ المَرْأَةِ زَوْجَهَ


Kutoka kwa Ummu Khalthum bin Uqbah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu  Akisema:  [Hajasema uongo yule mwenye kusuluhisha baina ya watu ukawa unasambaza (habari ya) Kheri, au anasema Kheri]  [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika riwaya ya Muslim muna ziada inayosema Akasema: [Wala sikumsikia akiruhusu chochote katika uongo wanaosema watu isipokuwa katika mambo matatu] Yaani katika Vita kusuluhisha baina ya watu, mwanamume kuzungumza na Mkewe na mke kuzungumza na Mumewe


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.