0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

248. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kupatanisha Watu Hadithi 01


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « كُلُّ سُلامى مِنَ النَّاسِ عَلَيْهِ صَدَقَةٌ كُلَّ يوْمٍ تَطْلُعُ فِيهِ الشَّمْسُ : تَعْدِلُ بيْن الاثْنَيْنِ صَدقَةٌ ، وَتُعِينُ الرَّجُلَ فِي دَابَّتِهِ فَتحْمِلُهُ عَلَيْهَا ، أَوْ تَرْفَعُ لَهُ عَلَيْهَا مَتَاعهُ صَدقَةٌ، وَالْكَلِمَةُ الطَّيبةُ صدقَةٌ ، وبكُلِّ خَطْوَةٍ تَمْشِيهَا إِلَى الصَّلاةِ صَدقَةٌ ، وَتُمِيطُ الأَذَى عَنِ الطَّرِيقِ صَدَقَةٌ »    متفق عليه


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu  :  [Viungo vyote vya wanadamu vinawajibika kutoa Sadaka kwa kila siku inayochomozewa na Jua: Kusuluhisha kwa uadilifu baina ya watu wawili ni Sadaka, kumsaidia juu ya Mnyama wake ukampandisha au ukamnyanyulia Mzogo wake ni Sadaka, kusema neno zuri ni Sadaka, kila hatua unayopiga kwenda Msikitini ni Sadaka, na kuondoa taka njiani ni Sadaka]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.