0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

31. MLANGO WA KUPATANISHA BAINA YA WATU

BUSTANI YA WATU WEMA


{قال تعالى{َلَّا خَيْرَ فِي كَثِيرٍ مِّن نَّجْوَاهُمْ إِلَّا مَنْ أَمَرَ بِصَدَقَةٍ أَوْ مَعْرُوفٍ أَوْ إِصْلَاحٍ بَيْنَ النَّاسِ

{قال تعالى : {َوَالصُّلْحُ خَيْرٌ

{قال تعالى : {َفَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَصْلِحُوا ذَاتَ بَيْنِكُمْ

{قال تعالى : {َإِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ إِخْوَةٌ فَأَصْلِحُوا بَيْنَ أَخَوَيْكُمْ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakuna kheri katika mengi ya wanayo shauriana kwa siri, isipo kuwa kwa yule anaye amrisha kutoa sadaka, au kutenda mema, au kupatanisha baina ya watu.] 
 
    [An-Nisaai: 114]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na suluhu ni bora]       [An-Nisaai: 128]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[
Basi mcheni Mwenyezi Mungu na suluhisheni mambo baina yenu,] 
  
    [Al Anfaal: 01]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu]       [Al H’ujuraat: 10]
 


 شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.