BUSTANI YA WATU WEMA
وعن جُنْدِبِ بن عبد اللَّه رضي اللَّه عنه قال: قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم:«منْ صَلَّى صَلاةَ الصُّبحِ فَهُوَ فِي ذِمةِ اللَّه فَلا يطْلُبنَّكُمْ اللَّهُ مِنْ ذِمَّتِهِ بِشَيْءٍ ، فَإِنَّهُ منْ يَطْلُبْهُ مِنْ ذِمَّتِهِ بِشَيْءٍ يُدرِكْه ، ثُمَّ يكُبُّهُ عَلَى وجْهِهِ في نَارِ جَهَنَّم » رواه مسلم
Kutoka kwa Jundub bin ‘Abdillaah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Atakaeswalia Swala ya Asubuhi basi yeye yupo katika ulinzi wa Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu asimpate mtu akimvunjia mtu ulinzi wake kwa jambo lolote, kwani atakaemkuta akivunja ulinzi wake Mwenyezi Mungu atamkamata na atamtupa kwa uso wake katika Moto wa jahannam] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله