0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

231. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 10


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589

وعن أَبي قَتادَةَ الْحارِثِ بنِ ربْعي رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «إِنِّي لأَقُومُ إِلَى الصَّلاةِ ، وَأُرِيدُ أَنْ أُطَوِّل فِيها ، فَأَسْمعُ بُكَاءَ الصَّبِيِّ ، فَأَتَجوَّزَ فِي صلاتِي كَرَاهِيَةَ أَنْ أَشُقَّ عَلَى أُمِّهِ »     رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Qataadah Al-Haarith Ar-Ri’biy (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Kwa hakika mimi husimama katika Swala na nikataka kuirefusha, husikia kilio cha Mtoto, hapo naifupisha Swala yangu kwa kuchelea nisije nikampa uzito Mama yake.]    [Imepokewa na Bukhari]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.