0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

233. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuadhimisha mambo Matukufu ya Uislamu na … Hadithi 12


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن ابن عمر رضي اللَّه عنهما أَنَّ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « المُسْلِمُ أَخُو المُسْلِمِ ، لا يظْلِمُه ، ولا يُسْلِمهُ ، منْ كَانَ فِي حَاجَةِ أَخِيهِ كَانَ اللَّهُ فِي حاجتِهِ ، ومَنْ فَرَّج عنْ مُسْلِمٍ كُرْبةً فَرَّجَ اللَّهُ عنْهُ بِهَا كُرْبَةً مِنْ كُرَبِ يوْمَ الْقِيامَةِ ، ومَنْ ستر مُسْلِماً سَتَرهُ اللَّهُ يَوْم الْقِيَامَةِ » متفقٌ عليه


Kutoka kwa Ibn ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Amesema: [Muislamu ni ndugu ya Muislamu, hamdhulumu wala hamsalimishi (kwa adui). anaekuwa katika haja ya nduguye,Mwenyezi Mungu takuwa katika haja yake, Mwenye kumuondolea Muislamu dhiki, Mwenyezi kumondolea Muislamu dhiki, Mwenyezi Mungu Atamuondolea dhiki miongoni mwa dhiki Siku ya Qiyama. Na Atakaemsitiri Muislamu, Mwenyezi Mungu atamsitiri Siku ya Qiyama.]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.