0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

221. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kudhulumu na Amri ya kurudisha Vilivyodhulumiwa Hadithi 19


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن خَوْلَةَ بِنْتِ عامِرٍ الأَنْصَارِيَّةِ ، وَهِيَ امْرَأَةُ حمْزَةَ رضي اللَّهُ عنه وعنها ، قالت : سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « إِنَّ رِجَالاً يَتَخَوَّضُونَ فِي مالِ اللَّهِ بِغَيْرِ حَـقٍّ فَلهُمُ النَّارُ يَوْمَ الْقِيَامةِ »     رواه البخاري


Kutoka kwa Khawlah bint ‘Aamir Al-Answaariyyah (Radhi za Allah ziwe juu yake), naye ni mke wa Hamza bin ‘Abdul-Mutw-Twalib (Radhi za Allah ziwe juu yao) kuwa amemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu : Akisema: [Hakika watu wanaotumia mali ya Mwenyezi Mungu (mali ya Ummah) bila ya haki, wana Moto Siku ya Qiyama.]    [Imepokewa na Bukhaariy]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.