0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

220. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kudhulumu na Amri ya kurudisha Vilivyodhulumiwa Hadithi 18

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن ابنِ عمرَ رضي اللَّه عنهما قال قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لَنْ يَزَالَ الْمُؤمِنُ فِي فُسْحَةٍ مِنْ دِينِهِ مَالَمْ يُصِبْ دَماً حَراماً »    رواه البخاري


Kutoka kwa I bn ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu : [Muumini anabaki kua katika upeo wa dini yake madamu hajamwaga damu iliyoharamishwa.]     [Imepokewa na Bukhari]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.