0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

27. MLANGO WA KUADHIMISHA MAMBO MATUKUFU YA UISLAMU KUBAINISHA HAKI ZAO KUWASIKITIKIA NA KUWAHURUMIA


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال تعالى : {وَمَن يُعَظِّمْ حُرُمَاتِ اللَّهِ فَهُوَ خَيْرٌ لَّهُ عِندَ رَبِّهِ

{قال تعالى : {ذَٰلِكَ وَمَن يُعَظِّمْ شَعَائِرَ اللَّهِ فَإِنَّهَا مِن تَقْوَى الْقُلُوبِ

{قال تعالى : {وَاخْفِضْ جَنَاحَكَ لِلْمُؤْمِنِينَ

{قال تعالى : {مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na anayevituza vitu vitakatifu vya Mwenyezi Mungu basi (kufanya) hivyo ni kheri yakw mwenyewe mbele ya mola wake] 
     [Suuratul Hajj:30]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na anayetukuza ibada za Mwenyezi Mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo ]       [Suratul Hajj:32]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na wainamishie bawa lako (la huruma) Waumini.]       [Suuratul Hijr:88]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote.]       [Suurat Al-Maida:32]


شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهToa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.