June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
{وقال تعالى : {وَادْعُ إِلَىٰ رَبِّكَ
{وقال تعالى : {ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ
{وقال تعالى : {وَتَعَاوَنُوا عَلَى الْبِرِّ وَالتَّقْوَىٰ
{وقال تعالى : {وَلْتَكُن مِّنكُمْ أُمَّةٌ يَدْعُونَ إِلَى الْخَيْرِ
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na lingania kwa Mola wako Mlezi.] [Surat Al-Furqan:74]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema] [Suurat An Nahl:125]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na saidianeni katika wema na uchamngu] [Suurat Al-Maida:2]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri] [Suurat Al ‘Imran:104]