0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

173. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kujulisha kheri na kulingania katika Uongofu au Upotevu Hadithi 01


BUSTANI YA WATU WEMA


RIYADHU


وعن أَبِي مسعودٍ عُقبَةَ بْن عمْرٍو الأَنْصَارِيِّ رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ دَلَّ عَلَى خَيْرٍ فَلهُ مثلُ أَجْرِ فَاعِلِهِ »      رواه مسلم


Kutoka kwa Abii Mas’uwd Uqbah bin Amru Al Answariy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu  : [Mwenye kujulisha kheri, atapa Ujira kama wa Mwenye kutenda.]       [Imepokewa na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.