0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

190. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuamrisha Mema na kukanya Mabaya Hadithi 07


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أَبِي سَعيد الْخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنه عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِيَّاكُم وَالْجُلُوسَ في الطرُقاتِ » فقَالُوا : يَا رسَولَ اللَّه مَالَنَا مِنْ مَجالِسنَا بُدٌّ ، نَتحدَّثُ فِيهَا ، فقال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : فَإِذَا أَبَيْتُمْ إِلاَّ الْمَجْلِس فَأَعْطُوا الطَّريقَ حَقَّهُ» قالوا: ومَا حَقُّ الطَّرِيقِ يا رسولَ اللَّه ؟ قال : « غَضُّ الْبَصَر ، وكَفُّ الأَذَى، ورَدُّ السَّلامِ ، وَالأَمْرُ بالْمعْروفِ ، والنَّهْيُ عنِ الْمُنْكَرَ »     متفقٌ عليه


kutoka kwa Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Nawatahadharisheni na kukaa njiani (mabarazani) ] Wakasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Hatuna budi kukaa katika mabaraza yetu tukizungumza. Akasema Mtume  [Ikiwa hamna budi ila kuketi, basi ipeni Njia haki zake ] Wakauliza: Ni zipi haki za njia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema: [Kuinamisha macho chini, (kutotizama ya haramu) na kuondoka udhia, na kurudisha salamu, na kuamrisha mema na kukataza maovu.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.