0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

189. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuamrisha Mema na kukanya Mabaya Hadithi 06


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أُمِّ الْمُؤْمِنين أُمِّ الْحكَم زَيْنبَ بِنْتِ جحْشٍ رضي اللَّه عنها أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم دَخَلَ عَلَيْهَا فَزعاً يقُولُ : « لا إِلهَ إِلاَّ اللَّه ، ويْلٌ لِلْعربِ مِنْ شَرٍّ قَدِ اقْتربَ ، فُتحَ الْيَوْمَ مِن ردْمِ يَأْجُوجَ وَمأْجوجَ مِثْلُ هذِهِ » وَحَلَّقَ بأُصْبُعه الإِبْهَامِ والَّتِي تَلِيهَا . فَقُلْتُ: يَا رسول اللَّه أَنَهْلِكُ وفِينَا الصَّالحُونَ ؟ قال : « نَعَمْ إِذَا كَثُرَ الْخَبَثُ »     متفقٌ عليه


Kutoka kwa Mama wa Waumini Ummul Hakam Zaynab bint Jahsh Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba: Mtume ﷺ aliingia kwake akiwa amefadhaika, huku akisema: [Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu mmoja tu. Ole wao Waarabu! kwa shari iliyokaribia. Imefunguliwa leo tundu (katika ukuta unaowazuia) Juju na Maajuj mfano wa huu] na akashiria mzunguko kwa vidole vyake kwa kutumia kidole gumba na kile kinachofuata. ” Nikasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Tutaangamizwa na miongoni mwetu kuna watu wema? Akasema: [Ndio, pindi maovu yatakapokithiri.]    [Imepokewa na Bukhari]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.