BUSTANI YA WATU WEMA
عنْ أَبِي سَعيد الْخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنه عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِيَّاكُم وَالْجُلُوسَ في الطرُقاتِ » فقَالُوا : يَا رسَولَ اللَّه مَالَنَا مِنْ مَجالِسنَا بُدٌّ ، نَتحدَّثُ فِيهَا ، فقال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : فَإِذَا أَبَيْتُمْ إِلاَّ الْمَجْلِس فَأَعْطُوا الطَّريقَ حَقَّهُ» قالوا: ومَا حَقُّ الطَّرِيقِ يا رسولَ اللَّه ؟ قال : « غَضُّ الْبَصَر ، وكَفُّ الأَذَى، ورَدُّ السَّلامِ ، وَالأَمْرُ بالْمعْروفِ ، والنَّهْيُ عنِ الْمُنْكَرَ » متفقٌ عليه
kutoka kwa Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Nawatahadharisheni na kukaa njiani (mabarazani) ] Wakasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Hatuna budi kukaa katika mabaraza yetu tukizungumza. Akasema Mtume ﷺ [Ikiwa hamna budi ila kuketi, basi ipeni Njia haki zake ] Wakauliza: Ni zipi haki za njia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema: [Kuinamisha macho chini, (kutotizama ya haramu) na kuondoka udhia, na kurudisha salamu, na kuamrisha mema na kukataza maovu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله