0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

161. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzihifadhi Sunna na Adabu zake Hadithi ya 06


BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين 


عن أَبِي موسى رضي اللَّه عنه قال : احْتَرق بيْتٌ بالْمدِينَةِ عَلَى أَهلِهِ مِنَ اللَّيْل فَلَمَّا حُدِّث رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِشَأْنِهمْ قال : « إِنَّ هَذِهِ النَّار عَدُوٌّ لكُمْ ، فَإِذَا نِمْتُمْ فَأَطْفِئُوهَا عَنْكُمْ »   متَّفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Musaa  Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: Iliteketea nyumba Madina wakati wa usiku na wenyewe wamo ndani. alipohadithhiwa Mtume habari hiyo,   alisema: [Hakika huo moto ni adui yenu, mnapolala uzimeni. ]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.